Je Umeota Vinyama Sehemu Zako Za Siri Na Hujui Ufanyeje?? Usijali Suluhisho Limepatikana !!


Wengi Walikua Hawaamini Kama Wanaweza Kupona IIla Utashangazwa Na Shuhuda Zao..

Ujumbe Huu Ni Wako Kama...

  • Umeota vinyama sehemu za siri (uke,uume,mashavu ya uke)

  • Vinyama huja na kupotea

  • Vinyama vimeota kuzunguka sehemu ya tundu la haja kubwa

GERNITAL WARTS NI NINI ??

Genital warts (maotea/vinyama sehemu za siri) ni viotea au vinyama vinavyoota au kujitokeza kwenye ngozi ya maeneo ya sehemu za siri (uume, ndani ya uke,mashavu ya uke,kwenye korodani,sehemu ya kinena na kuzunguka sehemu ya tundu la haja kubwa), mara nyingi vinyama hivi hutokana na maambukizi ya virusi vya Human Papillomavirus (HPV)

Gernital Warts/Maotea Hayaathiri Ngozi Peke Yake Bali Huathiri Hata Mahusiano

Mara nyingi wapenzi au wanandoa wakipata ugonjwa huu basi kila mmoja anamtuhumu mwenzake kwamba amemletea huyo ugonjwa...

.

.

Lakini pia mwingine akiona ana hali hiyo na mwenzake hana anaanza kujificha ili mwenzake asione

.

.

Na ikifikia sasa mwenza wake kaona anaanza kumnyanyapaa kuogopa asije kumuambukiza maana anajua kaupata huko kwa mchepuko

Hebu Tusikilize Kidogo Story Ya Bwana Juma Inaweza Ikakufunza Jambo

Mwanzo Nilidhani Ni Vinyama Tu ..

Miezi kadhaa iliyopita, Juma aligundua vinyama vidogo sehemu zake za siri

Mwanzoni hakujali sana.

Alijiambia:

β€œNi kitu kidogo tu… kitaondoka”

Baada ya muda, vilipungua na vingine vilionekana kama vimeisha

Juma akafurahi

Akaacha kufuatilia

Akaendelea na maisha yake kama kawaida

Lakini hakujua kama alichokuwa amekiona kilikuwa genital warts, wala hakufanya uchunguzi

Miezi Kadhaa BAADAYE...

Juma alianza kuona kinyama / kiotea kingine

.

.

Kisha kingine.....

.

.

Baadaye akaona vingine kadhaa vikianza kuonekana katika eneo kubwa zaidi la sehemu zake za siri

.

.

Safari hii hakukuwa na tena ile hali ya kusema:

.

.

β€œVitaisha chenyewe”

.

.

Alianza kuingiwa na hofu

.

.

Akaanza kujificha wakati wa kubadilisha nguo

.

.

Akaogopa mwenza wake asije gundua

.

.

Lakini tatizo halikuishia hapo

Mwenza Wake Akaanza Kuona Pia

Baada ya muda, mwenza wake naye alianza kugundua vipele/vinyama visivyo vya kawaida kwenye sehemu zake za siri

Sasa maswali yakaanza kuwa mengi:

β€œHivi vimetoka wapi?”

β€œNani kanieletea ?”

β€œItakua mme wangu kaniletea”

Ikabidi amuulize mumewe..

Na hapo ndipo Juma alipoanza kuelewa kwamba matatizo yanayohusiana na HPV yanaweza kuwa na athari kwa mke wake pia na kuweza kuathiri uhusiano wake wa kimapenzi

Hili Ndio KOSA Kubwa Ambalo Watu Wengi Huwa Wanalifanya Ila Wewe Usilifanye...

KOSA ambalo wengi hufanya ni kupuuza wanapoona vipele au vinyama sehemu zako za siri

Lakini naomba nikushauri ya kwamba

Hata ukiona kinyama kimoja sehemu zako za siri na ukaenda kupima ikagundulika ni Gernital Warts basi hakikisha unapata tiba kabla havijazaliana na kuwa vingi

Huyu hakusubiria mpaka viwe vingi, alikua na vinyama viwili na akaamua kupambana ili kuvimaliza, na Gernital Program inayotokana na virutubisholishe na tiba asili ndio iliyomaliza kabisa tatizo lake la vinyama hivyo/ gernital warts na sasa anafurahia maisha yake

SIO Kila Kipele Ni Gernital Warts

Wengi hufikiri kila kipele au kinyama kinachoota sehemu za siri basi ni warts, HAPANA

.

.

Vipo vinyama na vipele aina mbali mbali ambavyo huweza kuota kwenye mwili wa mtu na visiwe na shida yoyote ile

SKIN TAGS

SKIN MOLE

SKIN TAG


Hizi zote hazina shida yoyote mwilini, na huwa vinaweza kutokea sehemu zozote za mwili

.

.

Warts ambazo tunazoziongelea hapa ni zile zinazoota sehemu za siri ambazo tunaita Gernital Warts yaani ni warts lakini zimeotea sehemu za siri..

.

.

Sasa usihangaike sana kutibia skin tags au moles ukadhania ni gernital warts...

.

.

Gernital warts ndio uzitafutie tiba sio hizo skin tags au moles

Hebu Tusikilize Wadau Wetu Ambao Walipata Elimu Hii Na Kuepuka Kupigwa Hela BURE...


Najua Unajiuliza Mimi Ni Nani Na Kwanini Uamini Maneno Yangu

By The way.....


Naitwa Salim Manoti, nimekua nawasaidia watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo tatizo hili linalowasumbua sana watu la kuota vinyama au vipele sehemu za siri ijulikanayo kama Gernital warts/Maotea kwa muda mrefu

.

.

Na namshukuru MUNGU nimeweza kurudisha furaha na amani kwenye maisha ya hao watu.. nina imani hata wewe ukiamua kuanza program yetu utarudisha furaha yako

Hili Ni Jambo La Muhimu Unalopaswa Kulifahau kama Una Gernital Warts/Maotea..

Genital warts mara nyingi huhusishwa na aina za HPV zilizo kwenye kundi la low-risk, hasa HPV 6 na 11

Aina hizi kwa kawaida hazihusishwi na saratani kwa kiwango ambacho aina za high-risk zinahusishwa

Lakini Kuna Aina Hii Ndio HATARI...

HPV 16 & HPV 18

Hivi ndio virusi vya HPV vinavyohusishwa kusababisha saratani mbalimbali kama vile

  • Saratani ya shingo ya kizazi

  • Saratani ya uume

  • Saratani ya nyuma ya koo

    Lorem ipsum dolor sit amet

  • Saratani nyingine za maeneo ya uke na mashavu ya ukeLorem ipsum dolor sit amet

Ubaya Wa Virusi Hivi Ni Hii Hapa...


Ubaya wake ni kwamba ni ngumu kufahamu kama virusi ulivyo navyo vya HPV ni vile ambavyo vinasababisha tu vinyama au pia unavyo na vile vyenye kusababisha Saratani

NDIO maana kupima ni jambo muhimu hasa ukiona tayari ushatokwa na vinyama hivyo au una mwenza ambaye ana hivyo vinyama

Lakini HABARI NJEMA Ni Hii HAPA

Habari njema ni kwamba haupaswi kubaki ukihangaika bila kujua cha kufanya

Kuna hatua sahihi unazoweza kuchukua kulingana na hali yako

GERNITAL PROGRAM Ndio Suluhisho Bora Kwa Tatizo Lako La Gernital Warts/Maotea...

Endapo utaamua kuanza safari ya kumaliza tatizo lako kupitia Program yetu basi utakua haujakosea kabisa, yaani upo kwenye Njia Sahihi

.

.

Na Uzuri Hautakuwa Wa Kwanza Kupata Matokeo Mazuri

.

.

Hebu Angalia Wenzako Waliofanikiwa Kwenye Hii PROGRAM

Lakini OFA Hii Sio Kwa Kila Mtu Ila Ni Kwa Watu Wachache Ambao Watawahi Kabla Ofa Hii Haijaisha Ndani Ya Muda Huu

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Tumsikilize Na Huyu...

Lakini Pia Huwa Nakutana Na Wagonjwa Wa Namna Hii...

Huwa nakutana pia na wale wagonjwa ambao hupenda wapate matokeo ya haraka sana hata kama wanajua ugonjwa wao ni wa miaka mingi sana

.

.

Hebu tumsikilize mgonjwa wetu huyu ambaye alitumia tiba siku 7 tu lakini hakuona matokeo yoyote na alishaanza kukata tamaa

Lakini Uvumilivu Ukazaa Matunda Kwa Mgonjwa Wangu Huyu...


Japo alianza kukata tamaa lakini sikuacha kumsisitiza kila siku kuendelea kutumia tiba yake kama nilivyomuelekeza na baada ya miezi miwili MUNGU akamponya huyu dada kwa kupitia Gernital Program..

.

.

Hapo nikamshukuru sana MUNGU maana furaha yangu huwa pale mgonjwa wangu anapopata matokeo mazuri

Hebu Tumsikilize Hapa...
Hakikisha Tatizo Lako Halifikii Hatua Hii

Inawezekana Na Wewe Una Wasiwasi Sababu Ulishajaribu Sana Tiba Lakini Haujafanikiwa..

Siwezi kukulaumu maana watu wengi hawajafanikiwa kwenye kutibu tatizo hili

.

.

Zipo sababu mbalimbali zinazofanya watu hawa wasiweze kupona

.

.

Bahati nzuri GERNITAL PROGRAM imekua msaada mkubwa kwa watu hao ambao walikata tamaa..

.

.

Hebu tusome hapa chini kuna ujumbe wa mgonjwa wangu ambaye naye hakua anaamini sana ila alitaka tu kujaribu ili aone kama atafanikiwa

Kwahiyo Nakuelewa Sana Unachopitia....

Nelewa unavyojisikia na inawezekana umejaribu tiba nyingi lakini hujapata matokeo, siwezi kukulaumu kwa hilo kabisa

.

.

Kitu pekee unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kupata tiba iliyowasaidia watu wengi kutoka katika hiyo changamoto..

.

.

Hapo sasa ndipo unatakiwa utumie GERNITAL PROGRAM ili ikuvushe kwenye hilo daraja la mateso ya Gernital Warts / Maotea / Vinyama vinayoota sehemu za siri

Hata Wewe Unaweza Kuwa Mshindi Dhidi Ya Gernital Warts LEO Endapo Utaamua Kuchukua GERNITAL PROGRAM

GENITAL WARTS PROGRAM

Ni program maalum kwa watu wanaopitia changamoto ya genital warts, inayolenga kuwasaidia kuelewa tatizo lao, kuchukua hatua sahihi za matibabu, na kupata mwongozo wa kufuatilia hali yao

Faida Za Kutumia Gernital Program
  • Kusaidia kupunguza na kuondoa vinyama vinavyoonekana kulingana na hali ya mtu na njia inayofaa ya matibabu

  • Kupata mwongozo wa hatua kwa hatua badala ya kujaribu njia tofauti bila kujua kinachofaa

  • Kujifunza namna ya kutambua dalili na mabadiliko ya tatizo mapema

  • Kupata ufuatiliaji na ushauri ili kujua hatua inayofuata endapo vinyama vitaendelea au kurudi

  • Kupata faragha na msaada bila aibu, kwa sababu tatizo hili linaweza kuleta msongo na aibu kwa baadhi ya watu

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit. Autem dolore, alias, numquam enim ab voluptate id quam harum ducimus cupiditate similique quisquam et deserunt, recusandae.

Hii Ndio Sababu Ya Watu Wengi Huchagua Program Hii..

Program hii inahusisha virutubisho lishe na hazina kemikali , lakini pia havina shida hata kama kuna dawa zingine unazotumia kwa magonjwa mwengine

.

.

Unatumia capsules asubuhi na jioni kwa kunywa na maji baada ya chakula

.

.

Vidonge hivyo havina shida yoyote wala kusumbua kwenye utumiaji wake

OFA Hii Sio Kwa Kila Mtu Ila Ni Kwa Watu Wachache Ambao Watawahi Kabla Ofa Hii Haijaisha Ndani Ya Muda Huu

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kama Ulikua Hujui Sababu Za Vinyama Hivi Kurudi Hata Baada Ya Kuvichoma Au Upasuaji Basi Soma Hapa Chini..

Vinyama hivi hurudi tena na tena hata baada ya kuvichoma au kupaka cream za kuviunguza ni kwamba pale unakua unaondoa vinyama tu na haupambani na chanzo cha tatizo ambalo ni virusi vya HPV

.

.

Njia bora ya kupambana na tatizo hili mbali na kufanya yotte hayo ni kuusaidia mwili wako kinga yake ipande ili iweze kupambana na virusi hivyo ili wewe uwe salama dhidi ya ugonjwa huu wa maotea yaani kuota vinyama hivi

Je Program Hii Inagharimu Kiasi Gani ??

Program hii gharama yake halisi ni Tsh 520,000

.

.

Lakini kwa leo hautalipia hiyo Tsh 520,000 .... wala hautalipia Tsh 480,000 Kama wengine walivyonunua..

.

.

BALI.... Nakupa OFA hii...

.

.

Sababu kama hapo awali nilivyosema kwamba nataka kusaidia watu wengi kuondokana na changamoto hii...

.

.

Basi kama utaamua kuanza leo kabla muda wa hii ofa haujaisha basi utalipia Tsh 380,000 tu

OFA Hii Sio Kwa Kila Mtu Ila Ni Kwa Watu Wachache Ambao Watawahi Kabla Ofa Hii Haijaisha Ndani Ya Muda Huu

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Lipia Dozi Yako Kwa Namba Hizi

Au Unaweza Kulipia Kwa Lipa Namba

Bonyeza hapo chini kama upo tayari kuanza dozi au unataka ushauri zaidi kutoka kwangu

.

.

Lakini pia utatuma screenshot ya muamala ambao umeshaufanya na kuutuma na details zako za wapi unataka upokee mzigo wako

Ukitaka Kuchat Na Mshauri Wasiliana Naye Kwa Namba +255716778844 Au Bonyeza Hapo Chini

Kama Utaamua Kuanza LEO Basi Utapata BONUS ...

Hii ni BONUS itakayo wahusu watu 10 tu wa mwanzo ambao wataanza tiba leo..


  • Nitakupa SIRI ya kupambana na tatizo hili lisijirudie tena

  • Nitakusimamia kwa ukaribu kwenye hii program mimi mwenyewe mwanzo mpaka mwisho

  • Kuna dawa moja ya asili utapewa ya BURE.. kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kupambana na ugonjwa huu na kukupa matokeo ya haraka

Inawezekana Una Maswali Haya Hapa Chini...

Kutaka kujua jibu la kila swali hapo angalia pembeni ya swali kuna kama ka mshale cheusi kibonyeze utaona jibu la hilo swali

Je Natumiaje??

Unakunywa vidonge 2 mara 2 kwa siku na maji ya kawaida baada ya chakula

Ni Dawa Za Aina Gani??

Ni virutubisholishe ambavyo vipo kwenye mfumo wa capsules yaani kama zile dawa ambazo zimefunikwa kwenye ganda la plastic.. Dawa hizi hazina kemikali

Matokeo Nayaona Bada Ya Muda Gani ??

Matokeo huanza kuonekana kwenye wiki mbili za mwanzoni tangu uanze kutumia tiba ila kikubwa ni kwamba uimara wa kinga yako ndio itaweza kufanya matokeo yawe ya haraka sana au lah

Naweza Kupata Ushauri Kabla Ya Kuanza

NDIO unaweza kupata ushauri mzuri kabla ya maamuzi ya kununua dozi yako

Naipataje ???

Tunatuma dawa mikoa yote, kwahiyo tuambie upo mkoa gani na tutakupa maelekezo jinsi dawa zako jinsi zitakavyokufikia

Inachukua Muda Gani Kupokea Dawa

Kama upo dar utapokea mzigo wako ndani ya lisaa limoja tangu ufanye malipo au unaweza kufika mwenye ofisini kwetu hapa makumbusho na kuchukua dawa zako, LAKINI Kama upo mkoani utapokea mzigo wako ndani ya masaa 12-36 kutegemeana na mkoa gani uliopo

Natakiwa Nitumie Dozi Ngapi Kupona

Dozi hutofautiana kati ya mtu ya mtu na mtu na jinsi ugonjwa ulivyomuathiri mtu, lakini dozi huwa ni siku 30-90 kwa maana mtu anaweza kutumia dozi 1,2 au 3..

Lakini gharama zinatofautiana ambapo ya kwanza ndio ina hiyo gharama ila zinazofuata zinakua zinapungua

Nikishalipia Nini Nifanye

Ukishalipa , screenshot muamala uliofanya halafu utatuma kwenye whatsapp namba +255716778844...

Halafu ambatanisha na majina ya mpokeaji, mahali mzigo unapokwenda na namba ya simu ya mpokeaji

ASANTE NA KARIBU TUKUHUDUMIE